JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ndugu Rais tunashangilia ushindi kwa u-vuvuzela wetu

Ndugu Rais tumwombe Mwenyezi Mungu asikae mbali na sisi maskini wake, bali atukaribie! Mavuvuzela yamesimama mbele yetu, ona wanayotufanyia. Muumba usifiche uso wako wakati wa taabu zetu; wakati tunapolia sana! Sikia maombi ya watoto wako ushuke, tunaangamia. Shuka utusaidie. Tunapotafakari…

Rais mteule akwama uwanja wa ndege

*Ikulu kugeuzwa jumba la utamaduni New Mexico, Mexico Rais mteule wa Mexico, López Obrador, uamuzi wake wa kutumia usafiri wa ndege wa umma wiki iliyopita ulimtumbukia nyongo baada ya kukwama ndani ya ndege uwanjani kwa saa tatu kutokana na hali…

Watoto wa Afrika tunaona au tunaonwa? (2)

Kuanguka kwa zama za ukoloni na ukoloni mkongwe kumetoa nafasi kwa ukoloni mamboleo na ubeberu kutamalaki Afrika. Watoto wa Afrika hatuna budi kuona kwa undani mifumo miwili hii inayotamalaki inakatishwa na kufutwa. Watoto wale (waliopita) wa Afrika waliona athari na…

Sauti ya Hemed Maneti bado inasisimua

NA MOSHY KIYUNGI TABORA Sauti ya Hemed Maneti ‘Chiriku’ kila isikikavyo kupitia redio, nyoyo za baadhi ya wapenzi wa muziki wa dansi hupatwa na simanzi kubwa. Nguli huyo alifariki dunia Mei 31, 1991 akiwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar…

Ujamaa… (13)

Ndiyo kusema kwamba elimu inayotolewa sasa ni kwa ajili ya wachache tu wenye uwezo wa mitihani kuwazidi wengine; inawafanya wale wanaofanikiwa wajione kuwa wakubwa, na kuwafanya wale walio wengi wakitamani kitu ambacho hawatakipata daima. Inawafanya walio wengi wajifikirie kuwa wanyonge,…