Author: Jamhuri
JPM amfuta machozi Mfugale
Ifuatayo ni sehemu ya hotuba ya Rais John Magufuli wakati wa uzinduzi wa Mfugale Flyover, Tazara jijini Dar es Salaam uliofanyika Septemba 27, 2018. Pamoja na mambo mengine, Rais Magufuli alieleza kwanini ametaka daraja hilo lipewe jina la Mtendaji Mkuu…
Kwako Waziri wa Mambo ya Ndani
Mheshimiwa Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, sisi askari wastaafu wa Jeshi la Polisi tunakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya ingawa kuna changamoto za hapa na pale. Tunakutia moyo na tunaomba Mungu akuzidishie hekima katika utendaji wako. Ndugu…
Korosho bado ni ‘umiza kichwa’! (3)
Wakati wakulima wa korosho wanaanza kufaidi – (kwa Kimwela ‘kupoka’) neema za korosho, mara mwaka ule wa 1973 serikali ikavunja ile bodi ya mazao, lakini ikaunda mamlaka maalumu kwa zao letu la korosho. Mamlaka hiyo ilijulikana kama CATA (Cashew Authority…
Jamani, walimu wanateseka!
Mwaka jana niliwaalika baadhi ya walimu wangu wapendwa walionifundisha shule ya msingi. Miongoni mwao alikuwamo aliyenifundisha darasa la kwanza. Sina maneno mazuri ya kueleza furaha niliyokuwa nayo, na zaidi ya yote, waliyokuwa nayo walimu wangu. Pamoja nao, niliwaita baadhi ya…
Vyombo vya habari ni chuo cha maarifa
Vyombo vya habari (mass media) ni njia ya mawasiliano kati ya mtu na mtu, katika kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana. Iwe wakati wa kazi, mapumziko au starehe. Ni njia ya kufikia kupata maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika taifa lolote duniani….
Uamuzi wa Canada dhidi ya Kyi ni sahihi
Kama hujamsikia Aung San Suu Kyi, fungua macho upate somo la unafiki mkubwa unaotawala ulimwengu wetu enzi hizi. Su Kyi ni kiongozi wa Myanmar mwenye wadhifa unaofanana na wa waziri mkuu ambaye ni maarufu kama mwanaharakati aliyepinga utawala wa kijeshi…