JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

RAIS WA AFRIKA KUSINI, JACOB ZUMA ANG’ATUKA MADARAKANI

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amejiuzulu baada ya shinikizo nyingi kutoka kwa chama chake. Kapitia hotuba yake iliyopeperushwa kwa njia ya televisheni alisema anajiuzulu mara moja lakini akaongeza kuwa hakubaliani na uamuzi wa chama cha ANC. Chama cha ANC…

Wizara ya Maji Yaanza Kutekeleza Agizo la JPM Kwa Kasi

 Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe akikagua mitambo ya kusukuma maji katika eneo la Mailimbili mapema leo wakati wa ziara yake yakukagua namna Wizara hiyo kupitia Mamlaka ya Maji Safi na Maji  Taka Dodoma (DUWASA) itakavyofanikisha mradi wa…

MAPOKEZI YA VIFAA VYA MATIBABU ZAHANATI YA KOMKONGA

 Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Martine Shigela akizungumza na watumishi na wananchi wa Komkonga juu ya utunzaji wa vifaa hivyo na kupongeza uongozi wa Halmashuri kwa ujenzi wa maabara ndogo.  Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe aki shukuru…

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI FEBRUARI 15, 2018

                                                                           

Chadema yahofia wapiga kura wachache

NA WAANDISHI WETU Takribani siku nne kabla ya kufanyika uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na Siha mkoani Kilimanjaro, hofu ya kujitokeza wapiga kura wachache imeibuka kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHDEMA). Mgombea ubunge katika…

Usajili wachezaji wa kigeni uzingatie vigezo

NA MICHAEL SARUNGI Usajili wa wachezaji wa kigeni usiozingatia vigezo vinavyotakiwa umesababisha klabu nyingi zinazocheza Ligi ya Vodacom Tanzania Bara kujikuta zikisajili wachezaji wasiokuwa na viwango na kusababisha kukosa nafasi za kucheza na kuishia kukaa benchi. Wakizungumza na JAMHURI kwa…