Author: Jamhuri
FULL TIME MWADUI FC VS SIMBA SC(2-2)
Refa anapuliza filimbi kuanshilia mtanange unaanza na Mwadui ndio wanaanza mpira. Dakika ya 1: simba wanarusha mpira. Dakika ya 8 : faulo kuelekea lango la mwadui Dakika ya 9: Goooooooooooo Boko anawanyanyua mashabiki vitini, simba 1 Dakika ya 11: Simba…
SIMBA SC KAZINI TENA LEO KUUMANA NA MWADUI FC
Timu ya Simba leo inashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara kuumana na Mwadui Fc kwenye uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga. Simba ndio vinara wa ligi hiyo baada ya kujikusanyia point 41 ikiwa imecheza michezo 17, huku mwadi…
Mwenyekiti wa Zamani wa Vijana wa CCM Afutiwa Mashitaka Mahakamani
Dodoma. Mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Dodoma imemwachia mwenyekiti wa zamani wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Sadifa Juma Khamis baada ya upande wa Jamhuri kuwasilisha maombi ya kuifuta kesi iliyokuwa ikimkabili. Uamuzi huo umetolewa leo…
Naibu Meya wa CHADEMA Manispaa ya Iringa Ajiuzulu
Iringa. Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa, Dady Igogo ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake wa Naibu meya . Kwamujibu wa barua yake ya Februari 13 aliyoiwasilisha kwa Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo, Alex Kimbe, Igogo amedai ameamua kujiuzulu wadhifa…
MWANAFUNZI AWAMIMINIA RISASI WANAFUNZI WENZAKE NA KUWAUA 17, MAREKANI
Watu 17 wameuawa katika mauaji ya watu wengi yaliyofanywa katika shule moja huko Florida Marekani. Kwa mujibu wa polisi, mtuhumiwa huyo ametajwa kwa jina la Nikolaus Cruz mwenye umri wa miaka 19 na kwamba alikuwa mwanafunzi katika shule hiyo…
TANZIA: Kiongozi Mkuu wa Upinzani wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai Afariki
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai amefariki dunia nchini Afrika kusini. Kwa mujibu wa kiongozi Mwandamizi wa chama cha MDC, Tsvangirai mwenye umri wa 65, na aliyewahi kushika nafasi ya Uwaziri mkuu nchini Zimbabwe ameripotiwa kuwa alikuwa akisumbuliwa…