Author: Jamhuri
Hizi Hpa Mbinu Mpya za Serikari Kuwafanya Wanaume Wapime UKIMWI
Serikali imeandaa kampeni ya kitaifa ya kuhakikisha kuwa wanaume wanapima kwa hiari maambukizi ya Virusi ya UKIMWI. Hayo yamesema na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama alipokuwa katika…
PIGO KWA CHADEMA MADIWANI WATATU WA CHADEMA WAAMIA CCM, NGORONGORO, ARUSHA
Arusha. Madiwani watatu wa chadema katika halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro mkoa Arusha ,wamejiuzuru na kujiunga na chama cha mapinduzi(CCM) Kujiuzulu kwa Madiwani hao sasa kumeongeza Madiwani wa Chadema waliohamia CCM mkoa wa Arusha ambao wanafikia 15 ndani ya mwaka…
Dkt. Slaa Apangiwa Ubalozi Sweden, Kuapishwa Leo Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Februari 16, 2018 saa 3 asubuhi atawaapisha Dkt. Wilbrod Peter Slaa ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden na Muhidin Ally Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini…
BAADHI YA WAZANZIBAR WAPAMBANA KUUVUNJA MUUNGANO WA TANZANIA NA TANZANIA BARA
Kundi la wanaharakati lenye wafuasi zaidi ya elfu arobaini kutoka visiwani Zanzibar wamefungua kesi katika mahamaka ya Afrika Mashariki wakitaka Muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar uvunjwe kwa madai kwamba hauna uhalali. Rashid Salum Adiy ambae ni mmoja wa…
Cyril Ramaphosa Achaguliwa Kuwa Rais Mpya wa Afrika Kusini, Achukua Nafasi ya Jacob Zuma
Mwenyekiti wa chama tawala cha ANC Cyril Ramaphosa amepishwa kuwa rais wa Afrika Kusini baada ya rais wa taifa hilo Jacob Zuma kujiuzulu. Rais huyo mpya alikuwa mtu wa pekee aliyeteuliwa siku ya Alhamisi huku uteuzi huo ukiungwa mkono kwa…