JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

HICHI HAPA WALICHOSEMA MASHEKHE WALIPOTEA KWA KUTATANISHA NA KUONEKANA KWA KUTATANISHA

Mashehe watano waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha kuanzia Febuari 9 mwaka huu huko Zanzibar wameachiwa na kurejea katika familia zao usiku wa kuamkia Machi 4, 2018. Mashehe hao walitoweka ikiwa hakuna aliyekuwa akifahamu walipokwenda, huku wana familia wakiitaka serikali kufanya…

Freeman Mbowe alazwa Hospitali ya KCMC

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Manendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi akiendelea kupatiwa matibabu baada ya kufikishwa hospitalini hapo jana usiku alipougua ghafla. Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Hai na kiongozi…

Uongozi wa Mkoa Rukwa wachangia Milioni 5.7 kumalizia Ujenzi wa Msikiti Sumbawanga

Uongozi wa Waislamu Mkoani Rukwa umepokea kwa furaha mchango wa Shilingi Milioni 5.7 uliotolewa na uongozi wa serikali ya Mkoa wa Rukwa ukiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo katika kikao cha maridhiano juu ya ujenzi wa…

UFARANSA YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUPAMBANA NA RUSHWA

SERIKALI ya Ufaransa imeipongeza Serikali ya Tanzania kwa mapambano dhidi ya rushwa na inaamini fedha zinazotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali zitatumika kama ilivyokusudiwa. Kauli hiyo imetolewa leo (Jumatatu, Machi 05, 2018) na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania,…