Author: Jamhuri
MAGAZETI MATATU LIKIWEMO LA TANZANITE YAPEWA ONYO KALI NA SERIKALI
Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO imetoa onyo kwa magazeti matatu nchini kutokana na kile ilichoeleza kuwa ni kukiukwa kwa maadili ya uandishi wa habari. Hayo yalisemwa jana na Dkt Hassan Abbas ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa…
KCMC MOSHI: AFYA YA MBOWE IKO FITI NA SASA AMERUHUSIWA KUTOKA HOSPITAL
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya KCMC mkoani Kilimanjaro, akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa, ameruhusiwa kutoka baada ya madaktari kujiridhisha na afya yake iliyorejea katika hali ya kawaida.
MANCHESTER UNITED YAIADHIBU CRYSTAL PALCE KWA MBINDE
Manchester United imerudi kwenye nafasi yake ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Uingereza baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Crystal Palace. Mchezo huo ambao ulikuwa na matokeo hasi kwa Manchester United katika kipindi cha kwanza,…
BENJAMIN NYETANYAHU AKUTANA NA TRUMP KUJADILI TISHIO LA IRAN
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu yuko mjini Washington kukutana na Rais Donald Trump kutafuta njia za kuzuia jeshi la Iran kuongeza himaya yake Mashariki ya Kati. Mazungumzo hayo yamekuja wakati Trump anajaribu kupima iwapo ni busara kwa Marekani kujiondosha…
BAADHI YA WAUGANDA WAMKOSOA RAIS MUSEVENI KWA HATUA ALIYOICHUKUA, YA KUWAFUKUZA IGP NA WAZIRI WA ULINZI
Habari za kufukuzwa kazi Jenerali Kale Kayihura katika nafasi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Luteni Jenerali HenryTumukunde kama waziri wa ulinzi zimepokelewa kwa hisia tofauti na wasomaji wa mitandao nchini Uganda. Wengi wa wachangiaji katika mitandao ya jamii…