JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mlango wa viwanda Tanzania upo China

Na Deodatus Balile, Beijing   Wiki iliyopita katika safu hii nimeeleza kuwa nimeanza kuandika makala zinazohusiana na viwanda. Nimesema nimeingalia familia ya Watanzania, nikaangalia ugumu wa kazi wanazofanya na aina ya kipato wanachoweka kibindoni, basi nikapata hamu ya kuhakikisha angalau…

VIONGOZI WA MTANDAO WA WANFUNZI TANZANIA WAELEZE TAARIFA YA UCHUNGUZI WA ABDUL NONDO

Viongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) waelezea taarifa iliyotolea na Kamanda wa Mkoa wa Dar es Salaam juu ya Kujiteka mwenyewe Abdul Nondo na piwa watatakiwa kuonana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).

UNAJUA USAFIRI ANAOTUMIA RAIS DONALD TRUMP AKIWA MATEMBEZINI

Rais wa Marekani Donald Trump akiwa katika mazingira ya kawaida ya kikazi hutembelea gari aina ya limousine. Gari hiyo ni moja kati ya magari ghali zaidi na yenye ulinzi mkali zaidi duniani kote ulinzi wake ni pamoja na vioo vyenye…

MANCHESTER UNITED YAPINGWA NYUMBANI NA KUTUPWA NJEE YA MASHINDANO YA UEFA CHAMPION LIGI

Manchester United imetupwa njee ya Mashindano UEFA Champions League baada ya kukubali kulala kwa jumla ya mabao 2-1 ikiwa Uwanja wake wa nyumbani, Old Trafford, dhidi ya Sevilla kutoka Spain. Mabao ya Sevilla yamefungwa na Ben Yedder katika ya 74…

DC SINYAMULE AAGIZA MTENDAJI KATA YA BOMBO AWEKWE NDANI SAA NANE

Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Sinyamule akikagua Msingi wa Bweni la Shule ya Sekondari Bombo Wialayani hapo ambao umekwama tangu 2017 kutokana na Wananchi kushindw akujitokeza kuchangia ujenzi huo. Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Sinyamule akikagua, akiwa ameongozana…