JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Watoto wanahitaji ulinzi wetu

Na Alex kazenga. Wiki iliyopita mitandao yakijamii ilitawaliwa na video fupi ikimuonyesha  mtoto mdogo mwenye umri kati ya miaka 5 akielezea jinsi alivyo toa taarifa kituo  cha polisi na kufanikiwa kumzuia baba yake kuuza shamba la familia. Video hiyo  fupi…

ADHANA IMEPIGWA MARUFUKU KIGALI RWANDA, INASUMBUA WANANCHI

Marufuku ya matumizi ya adhana{ Wito kwa Waislamu kuhudhuria maombi} katika tarafa moja ya mji wa Kigali nchini Rwanda imepingwa vikali na baadhi ya Waislamu jijini humo. Utawala katika tarafa ya Nyarugenge kunakopatikana jamii kubwa ya Waislam nchini humo umebainisha…

BALCELONA YAIDHIBU CHELSEA NA KUITOA NJEE YA MASHINDANO YA UEFA CHAMPIONI LIGI

Baada ya Manchester United Juzi kutupwa nje na Sevilla kutoka Hispain kwa kufungwa mabao 2-1, jana usiku ilikuwa ni zamu ya Chelsea Kutupwa Nje ya Mshindano ya Kombe la UEFA Championi Ligi kwa kufungwa na Barcelona Mabao 3-0, mabao ya…

Mbarali waomba zahanati, hospitali

Na Thompson Mpanji, Mbeya Kutokana na changamoto ya ukosefu wa huduma ya Afya, miundo mbinu mibovu ya barabara na madaraja katika vijiji vingi vya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, mkoani hapa baadhi ya wagonjwa wanaoishi mpakani wanalazimika kutembea umbali mrefu kwenda kutibiwa…

Hongera JPM kwa uamuzi huu

Wiki mbili zilizopita Mpita Njia (MN) akiwa kwenye gari linalofanya kazi ya kusafirisha abiria (Heace)  kati ya Muganza na Buselesele Wilayani Chato, Mkoani Geita,  aliwasikia abiria  watatu wakiteta juu ya uteketezaji wa nyavu na ukamataji wa wavuvi haramu unaoendelea katika…