Author: Jamhuri
Agizo la JPM laibua mzozo Pwani
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Hofu imetanda kuhusu hatua ya uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, kutoa ekari 1,000 kati ya 5,900 za shamba la kampuni ya United Farming (UFC) lililopo Mlandizi mkoani Pwani zilizofutwa na…
Dawasco ilivyojipanga kuondoa kero za maji Dar na Pwani
Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita, imezinduliwa wiki ya maji hapa jijini Dar es Salaam, maadhimisho hayo yameanza Machi 16 na kuhitimishwa Machi 22, katika uzinduzi huo uliohusisha mikoa ya Pwani na Dar es Salaam, viongozi kadhaa walitoa hotuba, kutokana na…
Polisi yatamba kuwadhibiti ‘Wakorea Weusi’ Mbeya
Na Thompson Mpanji, Mbeya Polisi mkoani Mbeya imetangaza kukidhibiti kikundi cha uhalifu cha vijana wanaojitambulisha kama ‘Wakorea Weusi’, wakijihusisha na kujeruhi watu na uporaji mali za watu. Kikundi hicho ni miongoni mwa makundi ya kihalifu yaliyoibuka hivi karibuni mjini hapa,…
Urusi yaionya Uingereza
Urusi imeionya Uingereza kutokana na kitendo chake cha kuwafukuza wanadiplomasia wake 23, baada ya kuituhumu nchi hiyo kuhusika na shambulizi la sumu dhidi ya jasusi wa zamani wa Urusi aliyekuwa akiishi uhamishoni Uingereza. Kufukuzwa kwa raia hao wa Urusi, kulitokana…
‘Niliondolewa kijeshi’, Mugabe
Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amesema tukio la kuondolewa kwake madarakani kwa kutumia nguvu za kijeshi, haina tofauti na mapinduzi ya kijeshi yanayoweza kutokea kokote kule duniani. Akizungumza na Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC) kwa mara…
Vijue viwanja vyenye thamani Afrika
Tanzania imeendelea kujiongezea idadi ya vivutio vya kitalii baada ya Uwanja wa Taifa kuingia katika kundi la viwanja 10 bora barani Afrika, vilivyojengwa kwa gharama kubwa na vyenye ahadhi. 10- Uwanja wa Taifa Dar es Salaam: Uwanja ulijengwa kwa dola…