JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mama Anna Makinda awafunda madiwani uongozi wa kijinsia

SPIKA wa Bunge la Jamhuri wa Tanzania mstaafu, Mama Anna Makinda ametoa elimu wa uongozi wa Kijinsia kwa madiwani wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam katika warsha ya siku moja iliyoandaliwa na TGNP Mtandao ikiwa na lengo la kuwajengea…

SERIKALI YA UINGEREZA YAFUATA NYAYO ZA JPM KATIKA MUSTAKABALI WA PASIPOTI ZA KIELETRONIKI

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Aliance News imesema kuwa kampuni ya De La Rue ilikuwa na mkataba na Uigereza wa miaka 10 lakini nchi hiyo imeamua kuvunja mkataba kati yake na kampuni hiyo. Imefahamika lengo la Serikali…

HABARI NAOMBA MPOKEE PICHA NA STORI YA MSTHIKI MEYA WA JIJI

Meya Mwita azitaka halmshauri za jiji la Dar es Salaam, kuajiri watumishi kwa ajili ya kuzika watu wasiokuwa na ndugu. MSTAHIKI Meya wa  Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amezitaka halmashauri zote  jijini hapa  kuajiri watumishi ambao watakuwa wanafanya…

Dunia yapaza sauti kudhibiti tumbaku

Na Mashaka Mgeta, Afrika Kusini Takwimu za Shirika la Afya (WHO) zinaonesha kuwa takribani watu milioni 7 wanakufa kila mwaka ulimwenguni hasa katika nchi masikini ikiwamo Tanzania na zenye uchumi wa kati kwa sababu ya matumizi ya bidhaa zinazotokana na…