Author: Jamhuri
MAJALIWA AIPIGANIA NAMUNGO FC YA JIMBONI KWAKE IPANDE LIGI KUU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa wilaya ya Ruangwa washirikiane kuhakikisha ndoto ya timu yao ya mpira wa miguu ya Namungo FC ya kucheza ligi kuu inatimia. Amesema timu hiyo limeupa mkoawa Lindi na wilaya hiyo heshima kubwa imepanda…
WAZIRI MKUU AWATAKA VIJANA WAFANYE KAZI KWA BIDII NA MAARIFA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wafanye kazi kwa bidii na maarifa kwa sababu kazi ndiyo msingi wa maendeleo yao na Taifa kwa ujumla. Pia amewasihi wananchi wanaoishi katika maeneo ya mipakani wahakikishe suala la kulinda mipaka hiyo linapewa…
AZANIA BANK YAWAKUTANISHA WAFANYABIASHARA DAR ES SALAAM
Maofisa wa Benki ya Azania wakiwa wamepozi kwa picha kabla ya kuanza kwa mkutano uliondaliwa na TCCIA kwa ajili ya wafanyabiashara kuchangamkia fursa zilizopo katika uwekezaji. Mkutano huo ulidhaminiwa na benki hiyo. Washiriki wa mkutano wakijadiliana jambo. Wadu wa sekta…
MPANGO WA PAMOJA WA TANZANIA NA CHINA KATIKA KUONGEZA UZALISHAJI WA TIJA WA ZAO LA MAHINDI MKOANI MOROGORO WAZINDULIWA
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha China Profesa Sun Qixin, akimuonyesha Balozi wa China hapa nchini Wang Ke, moja ya picha katika Kituo cha Mafunzo cha kupunguza Umasikini kijijini, katika Kijiji cha Mtego wa Simba, Mikese mkoani Morogoro, wakati…