JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

MSIBA WA TAIFA

Uongozi wa Gazeti la JAMHURI unaungana na ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania kwenye maombolezo ya wananchi wenzetu 26 waliofariki dunia kwenye ajali iliyohusisha basi dogo (Hiace) na lori iliyotokea Mkuranga mkoani Pwani. Tunawapa pole majeruhi (tisa) waliolazwa katika Hospitali ya…

WAKILI ALIYEMUAPISHA RAILA ODINGA AZUHIRIWA UWANJA WA NDEGE

Wakili wa upinzani aliyeidhinisha kiapo cha Bw Raila Odinga alipokuwa anajiapisha kuwa ‘Rais wa Wananchi’ mwezi Januari bado amekwama katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi. Bw Miguna Miguna alijaribu kurejea Kenya Jumatatu lakini akazuiwa kuingia baada yake kudaiwa…

Kim Jong-un Huwenda amefanya ziara ya kushtukiza China

Kuna tetesi ambazo zinaendelea kushika kasi kwamba afisa wa ngazi ya juu wa serikali ya Korea Kaskazini ambaye amefanya ziara ya ghafla nchini China ni kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un. Vyombo vya habari Japan vilikuwa vya kwanza kuibuka na…

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kuburuzwa mahakamani

Jacob Zuma Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kuburuzwa mahakamani mwezi Aprili kwa makosa 16 yakiwemo ya kutumia vibaya ofisi wakati akiwa madarakani na ufisadi. Duru za habari nchini Afrika Kusini kusini likiwemo gazeti la News24 limeeleza kuwa…

Watu 37 wafariki katika mkasa wa moto jumba la Kemerovo, Urusi

Watu 37 wamethibitishwa kufariki baada ya moto kuzuka katika jumba moja kubwa la kibiashara katika mji maarufu kwa uchimbaji wa mkaa wa mawe wa Kemerovo, eneo la Siberia nchini urusi. Watu zaidi ya 64 hawajulikani walipo, wakiwemo watoto 41. Baadhi…