Author: Jamhuri
TPA yafungua ofisi Rwanda
Na Mwandishi Maalum Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imefungua ofisi katika Jiji la Kigali nchini Rwanda itakayotoa huduma zote za Bandari. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mheshimiwa Prof. Makame Mbarawa ndiye amefungua ofisi hii hivi karibuni. Waziri…
Tanzania inashika mkia kwa furaha duniani?
Kuna matokeo ya hivi karibuni ya utafiti uliyofanyika kupima kiwango cha furaha ya watu wa mataifa duniani na Tanzania inashika nafasi ya 153 kati ya nchi 156 zilizoshirikishwa kwenye utafiti huo. Finland inashika nafasi ya kwanza, wakati Burundi inashika nafasi…
Mafanikio yoyote yana sababu (15)
Na Padre Dk. Faustin Kamugisha Neno la kutia moyo ni siri ya mafanikio. “Neno la kutia moyo kutoka kwa mwalimu linabadilisha maisha ya mwanafunzi. Neno la kutia moyo kutoka kwa mwenza, linaokoa ndoa.” alisema John Maxwell (Kiongozi wa kidini…
China, Marekani katika vita ya biashara
Marekani inatarajia kuidhinisha viwango vipya vya ushuru ya bidhaa kutoka China hadi kufikia dola za Marekani bilioni 60, huku China nayo ikiahidi kuchukua hatua kama hiyo dhidi ya bidhaa kutoka Marekani. Afisa wa ngazi ya juu wa Marekani ambaye hakutaka…
Afrika yafungua wigo mpya kibiashara
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizotia saini mkataba unaolenga kuongeza wigo wa kufanya biashara miongoni mwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU), kwa zaidi ya asilimia 14 iliyopo sasa miongoni mwao. Mkataba huo ulitiwa saini mjini Kigali, Rwanda. Mkataba…