JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

AGPAHI YAKABIDHI MASHINE ZA KUCHUNGUZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI,KOMPYUTA MKOA WA MWANZA

Shirika la Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI) limekabidhi mashine tano za kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake ‘cryotherapy machines’ mkoa wa Mwanza.    Msaada huo umetolewa Jumanne Machi 27,2018 katika ukumbi wa mikutano wa Gold Crest…

Kichaa cha mbwa chatesa K’njaro

Mamlaka za Serikali zimetoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini dhidi ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa wilayani Moshi na maeneo mengine mkoani Kilimanjaro. Februari, mwaka huu, watu watatu walifariki dunia wilayani Moshi, chanzo kikielezwa kuwa ni kung’atwa na mbwa wenye…

Wananchi Mtwara walia na Tanesco

MTWARA NA CLEMENT MAGEMBE Wananchi wa Mtwara wamelilia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kukatika kwa umeme mkoani humo kuwa unawanyima fursa ya kuendesha shughuli zao za uzalishaji mali na kujikwamua na umaskini. Wakizungumza na JAMHURI mkoani humo mwishoni mwa…

Braziri Yalipa Kisasi, Yaitandika Ujerumani Bao 1-0

Ujerumani walishindwa kwa mara ya kwanza katika mechi 23 baada ya mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus kuwafungia Brazil bao moja na kuwapa ushindi wa 1-0 jijini Berlin. Hiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa mataifa hayo mawili kukutana uwanjani tangu…

Imethibitishwa Kweli Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un amezuru China

Baada ya siku ya uvumi wa siku nyingi, imethibitishwa kwamba kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un amezuru China. Ziara hiyo, ambayo ilithibitishwa na China na Korea Kaskazini, ndiyo ya kwanza inayofahamika ya Bw Kim nje ya taifa lake tangu alipochukua…