Author: Jamhuri
Mabula ashangaa mabilioni ‘kulala nje’
Na Munir Shemweta “Sekta ya ardhi ni nyeti kuliko sekta yoyote na iwapo itasimamiwa vizuri basi itaiingizia Serikali mapato makubwa kuliko sekta nyingine’’. Hiyo ni kauli ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, wakati akikagua…
Tuzungumze maendeleo ya watu
NA MICHAEL SARUNGI Nchi yetu ilipopata uhuru kutoka kwa wakoloni mwaka 1961 wananchi walipata madaraka ya kisiasa, hata hivyo sehemu kubwa ya uchumi bado ilibaki mikononi mwa wageni na baadhi ya Watanzania. Hali hiyo ilileta kero na ikawa mojawapo ya…
Yah: Kumbukizi ziakisi ukweli wa marehemu.
Kama kuna wakati nimepokea arafa nyingi za wasomaji wa barua yangu basi ni wiki jana, kila mmoja na mawazo yake, wapo waliodiriki kusema ninaegemea upande fulani kwa maslahi binafsi na wapo walionielewa na kupongeza juu ya waraka wangu ule wa…
Ukataji miti hovyo unavyoathiri vyanzo vya maji Mtwara
Mashaka Mgeta, Mtwara Zaidi ya nusu ya eneo la misitu 12 inayosimamiwa na Serikali Kuu kupitia Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) mkoani Mtwara, ipo kwenye vyanzo vya maji, ikiathiriwa na ukataji miti hovyo unaovifanya (vyanzo hivyo) kuwa katika hatari…
Trafiki Rorya, Tarime wametuonea
Jumanne, Machi 20, 2018 ni siku ambayo hatuwezi kuisahau sisi waongoza watalii watatu. Tulifanyiwa kitendo cha uonevu wa hali ya juu pamoja na kunyanyaswa wageni watalii, raia wa Marekani tuliokuwa tukiwapeleka Sirari. Tukio hili tulifanyiwa na polisi trafiki katika wilaya…
Mikutano hii iwe ya mara kwa mara
Wiki iliyopita, Rais John Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na wafanyabiashara wa sekta mbalimbali nchini. Masuala mengi yalizungumzwa na wafanyabiashara wenyewe, tofauti na ilivyozoeleka ambako kazi hiyo ilifanywa kwa uwakilishi. Waliopata nafasi walizungumza matatizo yanayowakabili na wakatoa mapendekezo ya kutatua…