Author: Jamhuri
Rufani ya Michael Richard Wabura Bado Kitendawili
Rufani ya Michael Richard Wambura bado kitendawili na hili ni baada ya kamati ya rufaa kuchelewa kutoa maamuzi. Je ni sahihi maamuzi kuchelewa ili haki itendeke au si sahihi kwa kuwa kamati hii imepokea taarifa ya pande zote mbili? Hebu…
PROF KABUDI ATAJA HATUA INAZOCHUKUA SERIKALI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi akizungumza na wadau wa utafiti wakati akifungua Warsha ya siku mbili kwa watafiti wa Tanzania na kutoka nje iliyoandaliwa na Tasisi ya Utafiti ya REPOA leo jijini Dar es Salaam. Waziri wa…
Liverpool Yaiadhibu Manchester City Kombe la UEFA
Michuano ya UEFA Champions League hatua ya robo fainali usiku wa April 4 2018 iliendelea tena kwa michezo miwili kupigwa, FC Barcelona wakiwa katika uwanja wao wa Nou Camp walicheza dhidi ya AS Roma wakati Liverpool walicheza na Man City…
Mafanikio yoyote yana sababu (16)
Padre Dk Faustin Kamugisha Kufanya kazi kwa bidii ni siri ya mafanikio. Kuchapa kazi ni siri ya mafanikio. Ndoto hazifanyi kazi mpaka uzifanyie kazi. Haitoshi kuwa na kipaji lazima kufanya kazi kwa bidii. “Kipaji bila kufanya kazi kwa bidii si…
Cape Town: Jiji la kitalii linalokabiliwa na upungufu wa maji
Cape Town iliyopo Afrika Kusini ni miongoni mwa majiji machache yenye vivutio vya utalii vinavyochangia pato la taifa hilo lenye nguvu kubwa ya uchumi barani Afrika, hivi sasa linakabiliwa na upungufu wa maji ulio kero kwa wenyeji na wageni. Meya…
Wakulima wa kahawa kupata neema
Na Charles Ndagulla, Moshi WAKULIMA wa zao la kahawa nchini hawana budi kufurahia mabadiliko ya taratibu mpya za usimamizi wa sekta ndogo ya kahawa baada ya kupitishwa kwa uamuzi mgumu ambao utachangia kuleta ufanisi katika uzalishaji wa zao hilo. Miongoni…