Author: Jamhuri
Simba Kazini Leo Dhidi ya Mtibwa Bila Majembe Haya
SIMBA SC itawakosa wachezaji wake watatu, mabeki Mganda Juuko Murshid, mzawa Erasto Nyoni na kiungo Mghana, James Kotei katika mchezo wake wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar leo Jumatatu Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro…
Chicharito Ainyima Ushindi Chelsea
Mshambuliaji Javier Hernandez ‘Chicharito’ akiwa amebebwa na Marko Arnautovic wakati wakishangilia baada ya kuifungia West Ham United bao la kusawazisha dakika ya 73 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Chelsea…
Baada ya kupongezwa na Rais hadharani, Meya wa Atoa Neno
“Hii pongezi ya Rais ni kwa sababu alipokea taarifa ya utendaji ya jiji la Arusha na tangu alipoingia nilimweleza mambo ambayo tumefanya kwa mfano amepongeza jitihada kubwa ya ujenzi wa madarasa, tunapandisha vituo vya afya mara moja na dispensary kwa…
Padri mwengine auawa DRC
Kasisi wa kanisa katoliki amepigwa risasi na kufa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo. Vyanzo vya habari kutoka Kaskazini mwa jimbo la Kivu vimearifu kuwa Padri Étienne Nsengiunva alikuwa akikomnisha waumini na ndipo wakati mtu mwenye silaha alipoingia kanisani…
Uwanja wa ndege za kivita wa Syria washambuliwa kwa makombora
Watu kadha wamefariki katika uwanja mmoja wa ndege wa kijeshi nchini Syria baada ya shambulio la kutumia makombora, vyombo vya habari vya serikali ya Syria vinasema. Shirika la serikali la SANA limesema makombora kadha yalirushwa uwanja wa ndege wa Tayfur,…