Author: Jamhuri
Wanafunzi ‘Shule ya Waziri Jafo’ wasomea chini ya mti
DODOMA EDITHA MAJURA Shule ya Msingi Nzuguni ‘B’ ya mkoani Dodoma, inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa hivyo kuwalazimu wanafunzi kusoma kwa zamu. Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo ndiye mlezi…
Hongera Rais John Magufuli
Wiki iliyopita, Rais John Magufuli alipokea ndege aina ya Bombardier Q400 yenye uwezo wa kubeba abiria 70, ikitokea nchini Canada. Katika hafla hiyo, Rais Magufuli akawataka Watanzania kujivunia ndege hiyo ya tatu ikiwa ni miongoni mwa ndege sita alizoahi kuzinunua….
Simba Yazidi Kuukaribia Ubingwa, Yaikung’uta Mtibwa Sugar Bao 1-0
Simba SC imeendelea kujikita kileleni katika Ligi Kuu Bara baada ya kuitandika Mtibwa Sugar bao 1-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Mchezo huo uliokuwa unaambatana na mvua iliyokuwa ikinyesha Uwanjani, ulishuhudiwa nyavu zikitikiswa mnamo dakika ya 24 ya kipindi…
Wakazi wa Bonde la Ziwa Rukwa wapata Shilingi Milioni 16.5 kukamilisha ujenzi wa kituo cha polisi
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amekabidhi shilingi milioni 5 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa alipotembelea ujenzi wa kituo hicho cha polisi tarehe 13.11.2017 na wananchi kumuomba kuchangia ambapo ukamilifu wa kituo hicho utasaidia kuhudumia kata…
WAZIRI MKUU AWATAKA MABALOZI KUTANGAZA VIVUTIO VYA UWEKEZAJI VILIVYOPO NCHINI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchini Urusi na Rwanda kutumia fursa hiyo kwa kutangaza vivutio vilivyopo nchini ili kuwavutia wawekezaji kuja kuwekeza kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya utalii. Pia amewataka Mabalozi kila mwisho wa mwaka wajifanyie tathmini…