JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Vipaumbele vya Fatma Karume kama Rais wa TLS

Rais mpya wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume ametaja mambo matano ambayo atayafanyia kasi baada ya kuchaguliwa kuongoza chama hicho, Jumamosi mjini Arusha. Fatma Karume ambaye ni binti wa Rais Mstaafu wa Zanzibar amesema kuwa, ataendeleza yale yaliyofanywa…

Mwanasiasa wa Kenya Kenneth Matiba amefariki

Mwanasiasa shupavu wa upinzani nchini Kenya Kenneth Stanley Njindo Matiba amefariki. Mwanasiasa huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 85. Ken, kama alivyojulikana nchini Kenya ameaga dunia katika Hospitali moja ya kibinafsi ya Karen, iliyoko Jijini Nairobi. Ken Matiba ambaye…

BASATA Yaingilia Kati Video Chafu ya Bilnasi na Nandy

Serikali imeanza mchakato wa kumchukulia hatua nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Nandy baada ya kusambaa mtandaoni kwa video inayomuonesha akiwa na msanii mwenzake Bilnass katika faragha. Video hiyo iliyoanza kusambaa juzi katika mitandao ya kijamii, inawaonesha Nandy na Rapa…

KATIBU MKUU TARISHI AONGEA NA WATENDAJI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI CHA KUBORESHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Maimuna Tarishi akifuatilia kikao na Kikosi kazi cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi, leo mjini Dodoma tarehe 13 Aprili, 2018. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge)…