Author: Jamhuri
SERIKALI IMEFANIKIWA KUDHIBITI MATUKIO YA UVUVI HARAMU NCHINI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba katikati akipanda moja kati ya mikoko ya miche 140,000 iliyotolewa na Kampuni ya Vodacom Foundation katika mikoa inazungukwa na bahari ya hindi ili kuzuia mabadiliko ya tabia…
MITI YA ASILI IPANDWE NA KUTUNZWA KWA FAIDA YA VIZAZI VIJAVYO-LUAMBA
Mwenyekiti wa shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na masuala ya upandaji miti la SAHO,(wa kwanza kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wenzake baada ya kupanda moja ya mche wa mti wa asili ,katika shule ya msingi Visiga wakati…
Lulu Azimisha Siku Yke ya Kuzaliwa kwa Kutoa Zawadi, Akiwa Gerezani
Ikiwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Msanii wa Bongo Movie, Elizabeth Michael maarufu kwa jina lake la sanaa la Lulu ambaye anatumikia kifungo chake gerezani, ametumia siku ya leo kutoa zawadi kwa watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa…
WAZIRI MWAKYEMBE: TATUENI KERO ZA WADAU KWA HARAKA NA UFANISI
Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi Bw. Makoye Alex Nkenyenge akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi (Hayupo katika picha) wakati wa ufunguzi wa kikao cha13 cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika leo Mkoani Dodoma katika Ukumbi wa Ofisi za Waziri Mkuu…