JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

WAGONJWA WA MACHO 300 NCHINI WAFANYIWA UPASUAJI NDANI YA SIKU TANO

Mtaalam kutoka Taasisi inayojishugulisha na afya ya macho ONA  Bi. Haika Urasa kulia akitoa miwani ya kusomea kwa mmoja wa wakazi wa Dodoma aliyefika kupata huduma. Mtaalamu wa magonjya yasiyoyakuambukiza Dkt. Nleminyanda Hezron akitoa huduma za kupima sukari kwa baadhi…

Taifa Star Yapania Kuwatandika Cape Verde

Ndoto za kucheza fainali za mwakani za michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) zitakazofanyika Cameroon zinaweza kutimia iwapo tutapata ushindi leo ugenini dhidi ya Visiwa vya Cape Verde. Wachezaji wa Taifa Stars wanapaswa wajue kuwa wana jukumu zito…

WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amechukizwa na biashara za magendo zinazoendelea katika wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hivyo amewataka viongozi wa wilaya hiyo wajipime wenyewe.   Pia, Waziri Mkuu amemuagiza Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kagera Bw. Adam Ntogha…

MTWARA KUVUNA VIBE KAMA LOTE MSIMU HUU WA TIGO FIESTA 2018

MTWARA KUVUNA VIBE KAMA LOTE MSIMU HUU WA TIGO FIESTA 2018 Wateja wa Tigo kupata faida mara tatu kupitia promosheni za kusisimua Mtwara, Oktoba 13, 2018 – Huku msimu wa mavuno ya korosho ukiwa umewadia katika mikoa ya nyanda za…

MULTICHOICE YAZINDUA RASMI KITUO CHA MAFUNZO YA UANDAAJI FILAMU AFRIKA MASHARIKI

MultiChoice Africa imezindua rasmi kituo cha mafunzo ya uandaaji wa filamu  katika ukanda wa Afrika Mashariki . Sherehe za uzinduzi huo zimefanyika mjini Nairobi nchini Kenya katika makao makuu ya ofisi ya MultiChoice na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa tasnia…

Watu 50 wakiwemo watoto 7 wapoteza maisha Kenya

Watu wasio pungua 50 wameuwawa baada ya basi kuacha njia na kupinduka katika mteremko mkali na kugonga magharibi mwa Kenya, afisa mmoja wa usalama amesema Jumatano. Ajali hiyo imetokea saa kumi alfajiri na katika ya wale waliopoteza maisha saba ni…