JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ongera King Kiba Kwa Kufunga Ndoa

  Msanii Ali Kiba amefunga ndoa leo katika msikiti wa Ummul Kulthum jijini Mombasa. Ndoa hiyo imefungwa na Sheikh Mohamed Kagera. Sherehe itafanyika hapo baadae na inatarajiwa kuhudhuriwa na watu maarufu kutoka maeneo mbalimbali. Kwa upande wake Rais wa Awamu…

Waziri Palamagamba Kabudi Akosoa kampeni ya RC Makonda kuwasaidia wanawake

Waziri wa Katiba na Sheria, Prof Palamagamba Kabudi amekosoa utaratibu uliotumiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda katika kushughulikia tatizo la wanawake wanaodai kutelekezwa na wazazi wenzao. Waziri Kabudi ameyasema hayo jana bungeni baada ya Mbunge…

Waziri amekabidhi nyundo kwa polisi

Baada ya ajali ya hivi karibuni mkoani Tabora iliyohusisha gari la mizigo na basi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba, ametoa agizo kwa Jeshi la Polisi ambalo litawaumiza waendesha magari wengi. Kwa mujibu wa taarifa za…

Trafiki njia ya Calabash mmmh!!

Tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani, trafiki wamekuwa wakifanya kazi ambayo matokeo yake yamechanganyika pongezi na lawama. Mpita Njia (MN) anatambua namna watumishi hawa wanavyojitahidi kusimamia sheria za usalama barabarani na hata kufanikiwa kwa kiwango fulani kupunguza ajali-…

Tunawatukuza mno Wakenya

Napenda kusoma mawazo ya watu wengi kwenye mitandao ya kijamii. Anayetaka kujua uwezo wetu wa kufikiri, kuchambua na kuainisha mambo, huko ndiko kunakomfaa. Kuna dosari moja nakutana nayo. Mitandao ya kijamii ina mjijadala mingi ya kuitukuza Kenya na Wakenya. Si…