JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Hizi hapa Nchi zinazofadhili Matibabu ya Tundu Lissu

Spika Job Ndugai amelieleza Bunge kuwa matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki, tundu Lissu (CHADEMA) aliyeko hospitalini nchini Ubelgiji yanagharamiwa na serikali ya Ujerumani. Ndugai alisema amefahamu hilo kwa kupewa taarifa na Balozi wa Ujerumani nchini, Dkt Detlef Weacter lakini…

TANZIA: Agness Gerald ‘Masogange’ afariki dunia

Video Queen maarufu nchini Tanzania, Agness Gerald maarufu kama Masogange amefariki dunia jioni ya leo Aprili 20, 2018 katika hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge, jijini Dar es salaam. Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na ndugu wa karibu na marehemu,…

TANZANIA KUADHIMISHA SIKU YA MALARIA DUNIANI MKOANI KIGOMA -KASULU

Tanzania inatarajia kuungana na nchi zingine duniani kwenye kuadhimisha siku ya Malaria Duniani ambayo ufanyika April 25 kila mwaka. Maadhimisho hayo ya kitaifa yatafanyika wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma huku Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii akitarajiwa kuzindua ripoti…