Author: Jamhuri
NEEMA IMEANZA KUMFUNGUKIA MBWANA SAMATTA
Neema imezidi kumfungikia mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga katika Klabu ya KRC Genk ya Ubelegiji baada ya klabu tatu za England kumuwania. Samatta aliyewahi kuichezea TP Mazembe ya DR Congo alijiunga na Genk mwaka 2015 baada ya mkataba wake…
Maandalizi ya ibada ya kuaga mwili wa
Mwili wa Msanii Agnes ‘Masogange’ Gerald unaagwa leo katika viwanja wa Leaders Club jijini na Dar es Salaam, na baada ya hapo utasafirishwa kwenye nyumbani kwao jijini Mbeya kwa ajili ya maziko. Katika viwanja hivyo, watu mbalimbali wakiwemo wasanii wenzake,…
Vidole Havitatumika Kupima Wanaume wa Dar Tezi Dume-Makonda
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa, njia itakayotumika kuwapima saratani ya tezi dume wanaume wa Dar es Salaam ni njia ya damu na sio kwa kutumia kidole kama inavyodhaniwa na baadhi ya watu. Ameeleza kwamba,…
UZALISHAJI WA CHAKULA NCHINI UMEIMARIKA-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula nchini imeimarika na kufikia tani milioni 15.9 kwa msimu wa mwaka 2016/2017 na 2017/2018 sawa na kuwa na ziada ya tani milioni 2.6. Pia Serikali ya Awamu…
BAADA YA MZEE WENGER KUOMBA POO, ARSENAL YAMNYATIA GUARDIOLA
Taarifa zinaeleza kuwa Uongozi wa Arsenal umeanza kufanya mazungumzo ya kimyakimya na Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ili kuchukua nafasi ya Arsene Wenger. Hatua hiyo imekuja kufuatia Wenger kutangaza kuondoka Arsenal baada ya kuitumikia kwa miaka 22 akiwa Kocha…