Author: Jamhuri
MOHAMED SALAH MCHEZAJI BORA WA MSIMU 2018/17 LIGI YA UINGEREZA
Nyota wa Liverpool, Mmisri, Mohamed Salah ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Mwanasoka bora wa England kwa msimu wa 2017/18. Tuzo hiyo maarufu kama ‘PFA Player of the Year’ ameitwaa Salah kutokana na kuonesha kiwango kizuri msimu huu ambapo amefunga…
NENDA NENDA SWAIBA, WEWE MBELE SISI NYUMA, JEBBY AFARIKI DUNIA
Msanii Jebby amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwao Dodoma. Imeelezwa kwamba siku kadhaa zilizopita Jebby aliomba kurudi kwa Dodoma baada ya hali yake kuwa mbaya. Taarifa za awali zinasema alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye bandama.
Rais Dkt Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPB
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Edmund Bernard Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB). Uteuzi wa Dkt. Mndolwa umeanza leo tarehe 23 Aprili, 2018. Dkt….
KUNDI LA YANGA KOMBE LA CAF NI LA VIBONDE TUPU
Kufuatia droo ya timu zitakazokutana katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kufanyika jana, uongozi Yanga wafurahia kupangwa na timu za ukanda wa Afrika Mashariki. Ukiachana na USM Alger inayotokea Algeria, Yanga imepangwa na timu za Rayon Sports…
MBEY CITY YAIPANIA YANGA LEO
Uongozi wa Mbeya City umesema tayari umeshajiandaa vizuri kuelekea mchezo wa leo wa ligi dhidi ya Yanga utakaopigwa Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Yanga imewasili mjini humo jana ikiwa ina kibarua leo dhidi ya wenyeji wao Mbeya City, na ikiwa…