Author: Jamhuri
Vigezo vilivyozingatiwa kuifanya ‘Dodoma’ kuwa jiji
Leo Alhamisi, Aprili 26, 2018 katika maadhimisho ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, tumeshuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akitangaza kuipandisha hadhi Manispaa ya Mji wa Dododma kuwa Jiji….
Siku yakimfika DPP hatafuta kesi kirahisi
Jalada la kesi ya mauji ya mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini, limefungwa. Uamuzi huu umetolewa na Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Biswalo Mganga. Akwilina aliuawa kwa risasi Februari 16, mwaka huu wakati polisi walipotumia nguvu kuyadhibiti…
Rais Dkt Magufuli aipandisha hadhi Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametangaza kuipandisha hadhi Manispaa ya Mji wa Dodoma kuwa Jiji kuanzia leo Aprili 26, 2018. Rais Dkt Magufuli ameyasema hayo leo, katika shotuba yake aliyoitoa wakati wa maadhimisho ya…
Vipimo muhimu ambavyo wengi huvisahau – 1
Vipimo ni muhimu sana kwa maendeleo ya afya. Kupitia vipimo tunaweza kutambua mustakabali wa afya zetu na hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri katika kupambana na maradhi mbalimbali. Hivi karibuni takwimu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionesha kuwa idadi ya…
Bandari ya Mtwara fursa ya viwanda
Na Mwandishi Maalum Katika makala haya tunakuletea maelezo kuhusu Bandari ya Mtwara, ambayo ni miongoni mwa bandari kuu tatu (3) za mwambao wa Bahari ya Hindi zilizo chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Bandari nyingine kuu ni…