Author: Jamhuri
SIMBA SC YAIKIMBIA YANGA MOROGORO, YAREJEA DAR
Timu ya Simba wamerejea jijini Dar es Salaam leo wakitokea Morogoro. Simba wamerejea jijini Dar es Salaam wakitokea Morogoro, hali ambayo imewashangaza wengi. Kawaida huondoka siku moja kabla ya mechi, lakini Simba wameamua kurejea Dar es Salaam siku mbili kabla….
Wakimbizi 21 wa Congo wafikishwa kortini Rwanda kwa kufanya maandamano
Wakimbizi 21 kutoka kambi hiyo jana wamefikishwa mahakamani kujibu mashitaka ya kuunda kundi la uhalifu na kufanya maandamano kinyume cha sheria. Wakati mvutano ukiendelea baina ya polisi wa Rwanda na wakimbizi kutoka Congo katika kambi ya Kiziba magharibi mwa Rwanda,…
Kim aahidi ‘historia mpya’ ya Korea mbili
Kim Jong-un ameahidi ‘historia mpya’ katika uhusiano na jirani yake wakati akiwa kiongozi wa kwanza wa Korea kaskazini kuingi Korea ksuini tangu kumalizika kwa vita vya Korea mnamo 1953. Katika hatua ilioshangiliwa kwa mbwembwe za kila aina kiongozi wa Korea…
MTIBWA VS AZAM FC NI MECHI YA KISASI
Mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inachezwa leo Uwanja wa Manungu mjini Morogoro kwa wenyeji Mtibwa Sugar wakiikaribisha Azam FC. Tayari kikosi cha Azam kimeshawasili mjini Morogoro tangu jana kwa ajili ya mchezo huo utakaopigwa majira ya saa 8 mchana….
ARSENAL YAJIWEKA PABAYA EUROPA LIGI BAADA YA KUTOKA SARE NYUMBANI
Timu ya Arsenal imeshindwa kuutumia vema uwanyja wake wa nyumbani kwenye kombe la EUROPA baada ya kwenda sare ya bao 1-1 na Atletico Madrid ya Hispania, goli la Arsenal lilifungwa na Mshambuliaje wake hatari Alexandre Lacazette kwenye dakika ya…