Author: Jamhuri
Tanzia: Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Abbas Kandoro afariki dunia
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro amefariki dunia leo Ijumaa Aprili 27, 2018 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Awali alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma. Kabla ya…
MDOGO WA MBUNGE JOHN HECHE ACHOMWA KISU NA POLISI
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya limashikiliwa Koplo Marwa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Suguta Chacha akiwa chini ya Ulinzi. Akielezea chanzo cha tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya, Henry Mwaibambe amesema kuwa, kulitokea…
JAJI MKUU AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI KATIKA KIWANJA CHA MAHAKAMA-DODOMA
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa upandaji miti, kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, kushoto ni Mhe. Ferdinand Wambali,Jaji Kiongozi Mahakama Kuu ya Tanzania. Jaji Mkuu wa…
JOSE MOURINHO AKATAA LAWAMA KUHUSU MOHAMED SARAHA
Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa anatakiwa apewe sifa kwa kumleta Chelsea mshambuliaji wa Misri mwenye umri wa 25 Mohamed Salah wakati alipokuwa mkufunzi wa Chelsea na sio kulaumiwa ya kumuuza mchezaji huyo katika klabu ya Roma 2016….
HAJI MANAR AWAKAAA SIMBA NA YANGA KUITWA MAHASIMU
Ofisa Habari wa Simba SC, Haji Manara, amewakataza Wanahabari kutumia neno MAHASIMU badala ya WATANI pindi wanapotangaza na kuziandika klabu hizo. Manara ameeleza kuwa Simba na Yanga si mahasimu bali ni watani wa jadi, tofauti na baadhi ya vyombo vya…