Author: Jamhuri
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari kuwa kiongozi wa kwanza wa Afrika kulakiwa na Donald Trump Marekani
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari atakuwa kiongozi wa kwanza wa taifa la kutoka bara Afrika kulakiwa na Rais wa Marekani Donald Trump White House atakapokutana na kiongozi huo kwa mashauriano rasmi mjini Washington baadaye leo. Marais wengine wa Afrika wamewahi…
Adhabu iliyotangazwa kwa watakaokamatwa wametupa takataka hovyo Jijini Dodoma
Siku tatu baada ya Rais Dkt Magufuli kuipandisha hadhi Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema kuwa, mtu yeyote atakayekamatwa akitupa takataka hovyo, atakamatwa na kutozwa faini ya TZS 50 milioni, ikiwa ni kwa…
SIMBA YAPATA HARUFU YAUBINGWA BAADA YA KUITANDIKA YANGA 1-0
Bao pekee la Erasto Nyoni limeipa Simba ushindi dhidi ya watani zao wa jadi Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam . Nyoni alifunga bao hilo katika dakika ya 37 kwa…
SIMBA VS YANGA LEO SAA KUMI KAMILI JIONI
Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakaowakutanisha Simba na Yanga utakaochezwa leo Jumapili 29,2018 katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, utakuwa mgumu Zaidi ya chuma kutokana na historia ya timu hzio zinapokutana huwa ni vigumu kutabiri. Lakini…