Author: Jamhuri
UDART wanahitaji mshindani
NA MICHAEL SARUNGI Katika siku za karibuni, pamekuwapo na usumbufu kwa abiria wanaotumia huduma inayotolewa na mabasi yaendayo haraka (UDART) kiasi cha kufikia hatua ya kutumia tiketi zinazotumiwa na wasafiri wa daladala. Ingawa wahusika wamejitahidi kutoa utetezi wao kwa kusema…
Donald Trump alijitungia barua kuhusu afya yake, daktari Harold Bornstein asema
Aliyekuwa daktari wa Donald Trump amesema kwamba si yeye aliyeiandika barua iliyomweleza mgombea huyo wa chama cha Republican wakati huo kuwa aliyekuwa na “afya nzuri ajabu”, vyombo vya habari Marekani vinasema. “[Trump] alitunga na kuamrisha kuandika kwa barua yote,” Harold…
RAIS MHE. DKT MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI IRINGA
Matukio makubwa matano yaliyoathiri Haki za Binadamu mwaka 2017 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya hali ya Haki za Binadamu kwa mwka 2017 na kuipa jina la Watu Wasiojulikana ambapo imechambua kwa undani masuala mbalimbali…
Nchi inavyoliwa
*Wajanja watajirika huku serikali ikiambulia ‘makombo’ *Wachimbaji Mirerani wavamia Epanko *Mkuu wa Mkoa akiri udhaifu, asema wamewasiliana na mamlaka NA ANGELA KIWIA Wakati serikali ikirekebisha sheria ya madini ili kunufaika na rasilimali hizo za taifa, hali ni tofauti kabisa…