Author: Jamhuri
RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA BARABARA NA KUFUNGUA KIWANDA CHA KUZALISHA CHAKULA CHA KUKU NA VIFARANGA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali baada…
Dawasco yatangaza kuhamia mfumo wa malipo wa serikali (GePG)
Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) limetangaza kuhamia rasmi katika mfumo wa malipo wa serikali (GePG). Hatua hii imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba na kampuni mbili za malipo ya kidijitali za Selcom na Maxcom waliokuwa wakikusanya…
GGM na TACAIDS kuzindua Kilimanjaro Challenge 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa zoezi la upandaji wa Mlima Kilimanjaro (Kilimanjaro Challenge 2018), litakalo kwenda sambamba na kuendesha harambee kuchangisha fedha kwa mwaka 2018…
DC KIGAMBONI AWAONDOLEA TAHARUKI WANANCHI WA KIBADA KUBOLEWA NYUMBA ZAO
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mh.Hashim Mgandilwa ameondoa hali ya taharuki iliyokuwa imetanda miongoni mwa wananchi wa Kata ya Kibada waliowekewa alama ya kubomoa majengo yao na wakala wa barabara (TANROADS) mbali na kununua viwanja hivyo kihalali kutoka wizara ya ardhi….
RAIS MAGUFULI,MBUNGE MAVUNDE NA DC NDEJEMBI WATIMIZA AHADI YAO YA KUCHANGIA SHULE YA MSINGI VEYULA-JIJINI DODOMA
Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde akishiriki kuchimba msingi wa ujenzi wa madarasa shule ya msingi Veyula. Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde akishiriki kuchimba msingi wa ujenzi wa madarasa shule ya msingi Veyula pamoja na wananchi. Mbunge wa…
Ajira Mpya 10,140 za Walimu Zatangazwa
Serikali inatarajia kuajiri walimu 10,140 katika shule za msingi ili kupunguza tatizo la uhaba wa walimu nchini. Kauli hiyo imetolewa leo Mei 2, bungeni jijini Dodoma na Naibu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),…