JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

AJALI: WATU 3 WAMFARIKI NA WENGINE 5 WAMEJERUHIWA KWA AJALI YA GARI, BOKO, DAR

AJALI : Watu 3 wamefariki dunia na wengine 5 wamejeruhiwa katika ajali ambayo imetokea jioni hii eneo la Boko Magengeni Manispaa ya Kinondoni ajali hiyo imehusisha magari matatu ikiwemo gari la kubebea michanga na basi la wanafunzi Mkuu wa Trafiki…

JAJI MKUU AZINDUA MAFUNZO YA UONGOZI KWA MAJAJI

Jaji Mkuu, Prof Ibrahimu Juma, akizungumza jambo katika hafla hiyo. Baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo. Prof Juma akizungumza na waandishi wa habari. …Akiwa na majaji katika picha ya pamoja. JAJI Mkuu  Prof Ibrahimu Juma amefungua mafunzo elekezi kwa…

Taarifa ya serikali kuhusu Uhaba wa bidhaa ya mafuta ya kula

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amelieleza Bunge kuwa, kuna hazina ya kutosha ya mafuta ghafi ya kula. Kwa mujibu wa Waziri Mwijage, kwenye hifadhi ya matenki ya mafuta ghafi ya kula jijini Dar es Salaam kuna mafuta…

TANZIA: Aliyekuwa Kocha wa Yanga TANZIA: Aliyekuwa Kocha wa Yanga Jack ‘Africa’ Chamangwana afariki dunia afariki dunia

Kocha wa zamani wa Yanga, Jack ‘Africa’ Chamangwana amefariki dunia jana jioni Mei 6, 2018 baada ya kuugua ghafla na kulazwa katika Hospitali ya Malkia Elizabeth jijini Blantyre. Kocha huyo aliyefariki akiwa na umri wa miaka 61 ameripotiwa kuwa alikuwa…

WAINGEREZA WAVUTIWA KUWEKEZA SELOUS, DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUWEKWA MAKUBALIANO YA AWALI (MOU)

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akimuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania TAWA, Dk. James Wakibara (hayuko pichani) kushirikiana na wawekezaji kutoka nchini Uingereza kuandaa mkataba wa makubaliano ya awali (MoU) ya uwekezaji katika…

Yanga Yachezea Kichapo cha Mbwa Mwizi Kutoka kwa USM Alger (4-0)

Kikosi cha Yanga kimeanza vibaya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika katika hatua ya makundi kwa kukubali kichapo cha mabao 4-0 kutoka kwa USM Alger katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Julai 5 1962. Yanga iliyokuwa inawakosa nyota…