Author: Jamhuri
Nondo Akwama Ombi la Kumkataa Hakimu, kuendelea na Kesi Yake
Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Iringa, John Mpitanjia anayeendesha kesi inayomkabili Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Abdul Nondo amekataa kujitoa katika kesi hiyo kwa maelezo kuwa, ushahidi wa mtuhumiwa anayetaka ajitoe haujajitosheleza. Katika maombi ya msingi,…
Burundi wanapiga kura ya maoni leo kutoa maamuzi ya muda wa muhula wa Rais kukaa madarakani kutoka miaka tano hadi saba
Burundi inafanya kura ya maamuzi hapo inayopania kuongeza muhula wa rais kutoka miaka tano hadi saba. Marekebisho hayo ya katiba yakiidhinishwa na wananchi huenda rais Pierre Nkurunziza akaongoza taifa hilo hadi mwaka wa 2034. Lakini kampeni hizo zimechafuliwa na tishio…
Hawa ndio Atletico Madrid, Wabeba Kombe la Europa League kwa kishindo, baada ya kuwafunga Marseille 3-0
Antoine Griezmann alifunga mabao mawili na kuwawezesha Atletico Madrid kuwachapa Marseille 3-0 mjini Lyon, Ufaransa na kushinda Kombe la Europa League mara yao ya tatu katika kipindi cha miaka tisa. Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa alianza kwa kufunga dakika…
YANGA YASHINDWA KUTAMBA NYUMBANI, YATOKA SARE NA RAYON SPORTS
Timu ya Yanga imeshinwa kuutumia vema uwanja wake wa nyumbani kwenye michuano ya Kombe la shirikisho barani Afrika, baada ya kutoka sare tasa ya bila kufungana na Rayon Sports ya Rwanda Katika mchezo huo ambao ulipigwa kwenye dimba la Taifa,…
Kauli ya serikali kuhusu ajira za vijana waliopita JKT
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt Hussein Mwinyi amesema serikali inatarajia kuajiri wastani wa vijana 6,000 waliopitia JKT kwa ajili ya vyombo vya ulinzi na usalama. Aidha amesema kujiunga na JKT kwa kujitolea, hakutoi uhakika wa…