JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TAASISI YA UHUSIANO WA UMMA TANZANIA (PRST) KUADHIMISHA WIKI YA MAWASILIANO AFRIKA MEI 25, 2018 JIJINI DAR

Taasisi ya Uhusiano wa Umma Tanzania, (PRST) inatarajia kufanya maadhimisho ya wiki ya Mawasiliano Afrika, iliyoanza tokea Mei 21 na kilele chake kinatarajiwa kuwa Mei 25, 2018 na Tanzania watafanyia kwenye Ofisi ndogo ya Bunge iliyopo Posta Jijini Dar es…

Saba Wafariki kwa kipindupindu Rukwa.

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule amethibitisha kufariki kwa wagonjwa saba wa kipindupindu katika Wilaya ya Sumbawanga huku wagonjwa wengine 44 wakibaki wodini kuendelea kupatiwa matibabu na wagonjwa 115 wakiruhusiwa kurudi nyumbani. Amesema kuwa ugonjwa huo umelipuka tarehe…

Uchochezi wa Oakland Institute na wenzake Loliondo

Hivi karibuni taasisi ya Oakland imetoa taarifa yenye kichwa cha habari: “Loosing the Serengeti: The Maasai land that was to run forever”, na kutangazwa na mashirika kadhaa ya habari ya kimataifa duniani kote. Serikari ya Tanzania imeshutumiwa kwa uongo kwamba…

Tusimamie utawala wa sheria

Katika maendeleo ya nchi na jamii msingi wa utawala wa sheria ndio hasa huleta ulinganifu kwa aliyenacho na asiyenacho. Hivyo ni msingi huo pekee haki huonekana imetengendeka. Kumekuwepo na kilio hasa kutoka kwa wanyonge pindi wanapoona hawajatendewa haki na mamlaka…

Waziri Mpina ziba masikio

Mjadala uliohusu vita dhidi ya uvuvi haramu ulitawala sehemu kubwa ya bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, bungeni jijini Dodoma, wiki iliyopita. Pengine kabla ya kuendelea, ni vizuri tukafahamu kazi za mbunge. Mbunge ana kazi nyingi, lakini zilizo kuu…