Author: Jamhuri
Mwanamgambo aliyejaribu kumpindua Fidel Castro afariki
Luis Posada Carriles, mzaliwa wa Cuba na ajenti za zamani wa CIA ambaye alitumia miaka yake mingi akijaribu kuipindua serikali ya kikomunisti ya Cuba amefarikia huko Florida akiwa na miaka 90. Bw Posada Carriles alikuwa mmoja wa maadui wakubwa wa…
Korea Kaskazini Wamtusi Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence
Afisa wa cheo cha juu wa Korea Kaskazini amemlaumu Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence kwa kuwa “mjinga” na kuonya kuwa kutakuwa na maonyeshano ya ubabe wa nyuklia ikiwa mazungumzo yatafeli. Choe Son-hui alisema Pyongyang haitaweza kuibembeleza Marekani kwa…
Magazetini Leo Alhamisi, Tarehe 24, Mei, 2018
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania May 24 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.
Joyce Msuya ateuliwa naibu katibu mkuu wa Shirika la Mazingira Duniani (UNEP)
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amemteua Mtanzania Joyce Msuya kuwa Naibu Katibu Mkuu na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la mazingira duniani, UNEP. Ofisi kuu za shirika hilo la UN lipo jijini Nairobi, Kenya. Bi Msuya atachukua…