Author: Jamhuri
Hauwezi kumfuga mbwa ukamkataza kubweka
Unapomfuga mbwa lazima atabweka tu, kwa sababu kubweka ni moja ya sehemu ya makuzi yake. Mimi ni mbwa niliyefugwa na taifa hili, ni lazima nibweke, siasa si uadui, isipokuwa hoja. Siasa ni sehemu ya maisha ya binadamu. Mwanafalsafa Hegel anasema: “Binadamu…
MAISHA NI MTIHANI (2)
Kutawala ulimi ni mtihani. Unapofungua mdomo kuzungumza ni kama unawafungulia watu albamu ya maisha yako, nao huo ni mtihani. Wataalamu wa mawasiliano wanatwambia kuwa mtu wa kawaida kwa wastani kwa siku anaweza kusema maneno ambayo yatajaa kurasa 20 zenye nafasi ya…
Nchi haiwezi kuendelea kwa kupangiana muda wa kulala
Napongeza uamuzi wa kutazamwa upya msimamo wa safari za usiku kwa magari, hasa mabasi. Uamuzi wa kuzuia mabasi kusafirisha abiria usiku ulitolewa wakati wa uongozi wa Serikali ya Awamu ya Pili kama suluhisho la ajali za mabasi kwa nyakati hizo….
Jinsi ya kuwa na fikra kubwa (2)
Jiweke karibu na vitu vinavyoongeza uwezo wa kufikiri. Ukitaka kuongeza fikra zako lazima utumie vitu vinavyokuingizia fikra kichwani kwako. Lazima uongeze maarifa. Na njia pekee ya kuongeza maarifa na ufahamu ni kujifunza kila siku. Soma vitabu, soma makala mbalimbali, soma…
Hiari na dhima havitangamani moyoni
Moyo ni kiungo kimojawapo cha mwili wa binadamu. Vipo viungo vingi mwilini vikiwamo figo, ini, pafu na vinginevyo. Moyo wa binadamu daima hufikwa na madhila ya raha na tabu katika muda wote wa uhai. Shida, simanzi, raha na misukosuko ni…
Yah: Hizi Tv Online zina maudhui gani?
Kwanza, nikiri wazi kwamba sizungumzii Tv Online zote, la hasha! Zipo ambazo unatamani kuzifuatilia kwa jambo lolote makini na zipo ambazo zinajibainisha kuwa ni za watu makini, lakini huo ujinga ambao unaupata kila unapojiunga nao, kwa kweli ninashauri tuangalie upya…