Author: Jamhuri
Sudan Kusini kuwekewa vikwazo
JUBA Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limezipa muda wa mwezi mmoja pande hasimu zinazogombana nchini Sudan Kusini kufikia makubaliano vinginevyo nchi hiyo ijiandae kukabiliana na vikwazo. Mchakato huo uliongozwa na Marekani ndani ya Umoja huo ulipata ushindi mdogo…
Bomu la watu laja Afrika – mwisho
Na Deodatus Balile Mwezi uliopita nimefanya mapitio ya kitabu kiitwacho “Making Africa Work”. Tafsiri isiyo rasmi ya jina la kitabu hiki ni “Mbinu za Afrika kujikwamua kiuchumi.” Kimeandikwa na Greg Mills, Olusegun Obasanjo (Rais mstaafu wa Nigeria), Jeffrey Herbst na…
Waziri Mkuu Matatani
UKWAPUAJI MALI ZA CCM Waziri Mkuu yumo *Anunua shule ya Chama, abanwa, airejesha chapuchapu *Yeye, Dk. Bashiru Ali wakwepa waandishi wa JAMHURI *Wajumbe NEC wataka achunguzwe mali anazomiliki *Wamlinganisha Rais Magufuli na Nyerere kwa uadilifu NA WAANDISHI…
Fred kufanyiwa vipimo kukamilisha usajili Man United
Kwa mujibu wa vyanzo vya sky sports ya nchini Uingereza vinaeleza kuwa mchezaji wa kimataifa wa Brazil, Fred anayechezea klabu ya Shakhtar Donesk ya nchini Ukraine anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya jumatatu hii ili kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na…
REKODI YA YANGA SC TANGU AONDOKE LWANDAMINA
Hapa nimekuwekea michezo na Matokeo yote waliyoyapa yanga baada ya Kuondoka kocha wao Lwandamina Aprili 11, 2018; Yanga 1-1 Singida United (Ligi Kuu Dar es Salaam) Aprili 18, 2018; Welayta Dicha 1-0 Yanga SC (Kombe la Shirikisho) Aprili 22,…
WATANZANIA WATAKIWA KUJIUNGA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA
Daktari wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Tanga (NHIF) Dennis David akimpima mkazi wa Jiji la Tanga Octaviani Moshiru kwenye banda lao lililopo kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga kunakoendelea maonyesho ya sita ya biashara ya kimataifaDaktari…