Author: Jamhuri
Kenya Yapiga Marufuku Kuwatembelea Watoto Shuleni
Wizara ya Elimu nchini Kenya imeivunjilia mbali bodi ya usimamizi wa shule ya Moi Girls na kutangaza kwamba ni marufuku kuwatembelea watoto shuleni baada ya mapumziko ya katikati ya muhula kwa shule zote za upili za umma. Hii ni kufuatia…
BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia Mkoani Kigoma
BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa Baada Basi la Abiria (PrinceAmida) lililokua likitokea Kigoma kuelekea Tabora kugongana na treni eneo la Gungu Relini Soweto Mkoani Kigoma. Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.
Balozi: Tanzania inapoteza mabilioni
Na Angela Kiwia Balozi John Chagama amesema Tanzania inapoteza mabilioni ya shilingi kutokana na viongozi wachache wenye uchu wa utajiri kuatamia fursa ya soko la mtandaoni. Mwaka 2012, Balozi Chagama na wenzake, walianzisha Kampuni ya Tanzania Commodity Exchange (TCX) iliyopaswa…
Somo la Mazingira ni Gumu Sana
Ningekuwa mbunifu mahiri wa kuandika hadithi, ningeandika hadithi ya vyura wa Kihansi kushangaa ni kwa kiasi gani binadamu wajinga mpaka kuwasafirisha vyura wenzao kwenda kuishi Marekani kwa muda. Mradi wa kuzalisha umeme wa Kihansi ulipoanza, mwaka 2000, ulipunguza kiwango cha…
Afrika iligomea kombe la dunia Moscow, Urusi
Safari ya Afrika katika kushiriki michuano ya kombe la dunia imekuwa ya milima na mabonde, lakini sasa Afrika inaelekea kuvunja ilichopanda kwa dalili zilizopo. Mwaka 1966 katika fainali za kombe la dunia zilizofanyikia nchini Uingereza na wenyeji kuwa mabingwa, Bara…
Afrika kupeta Urusi Moscow, Urusi
Kombe la dunia linaanza siku tisa zijazo kuanzia leo. Afrika inawakilishwa 5 katika mashindano hayo yanayochezwa nchini Urusi na wachambuzi wanasema Afrika inayo nafasi zamu hii. Leo tunakuletea makundi ya timu hizi na wiki ijayo tutakuletea ratiba yote ya michuano…