Author: Jamhuri
Kampeni ya ‘NMB Mastabata kotekote’ yafikia ukingoni
Kampeni ya kuhamasisha matumizi ya NMB mastercard na QR Code ‘Lipa Mkononi’ iitwayo NMB MastaBata ‘Kote Kote’, imefikia ukomo kwa wateja 7 na wenza wao kujishindia safari ya Dubai kwa siku nne inayogharamiwa kila kitu na Benki ya NMB. Kampeni…
Watu waliokufa kwa tetemeko Uturuki na Syria yafikia 9,000, mbwa wapelekwa
Vikosi vya uokozi nchini Uturuki na Syria wanaendelea kufanya kazi usiku na mchana na kuiondoa miili zaidi kutoka kwenye vifusi vya maelfu ya majengo yaliyoporomoka kutokana na tetemeko kubwa la ardhi. Idadi ya vifo imepanda leo na mpaka sasa inakaribia…
Mtwara wafurahia kunufaika na mradi wa kupaza sauti za baioanwai ya WWF
Aziza Nangwa,JamhuriMedia, Mtwara Wananchi na wadau kutoka asasi mbalimbali nchini wamefurahia elimu ya kupaza sauti juu ya baioanwai ya Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori (WWF) kuwanufaisha kimaisha kwa kubadili mitanzamo yao Jamhuri imeelezwa. Mmoja wa wananchi…
Utafiti: Vifo vya watoto chini ya miaka mitano vyapungua
Na WAF – Dodoma Tafiti zinaonesha kuwa kiwango cha vifo vya watoto chini ya miaka mitano kwa Mwaka 2022 kimefika vifo 43 kwa kila watoto 1,000 waliozaliwa hai ukilinganisha na vifo 67 kwa kila Watoto 1,000 waliozaliwa hai ilivyokuwa kwenye…
Makusanyo kodi ya ardhi yaongezeka kufikia bil.33.9/-
Na Munir Shemweta,WANMM Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi Bilioni 90.9 katika kipindi cha kuanzia Julai hadi Disemba 2022 kama kodi ya pango la ardhi sawa na asilimia 75 ya lengo la makusanyo…