JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Milioni 50 za Dkt.Mpango zawapa morali walimu

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Walimu na wanafunzi wa shule ya Sekondari Tumbi ,Kibaha Mkoani Pwani wamemshukuru Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Philip Mpango kwa kutoa Sh.milioni 50 kwa ajili ya motisha kwa walimu hao. Dkt.Mpango ametoa motisha wiki…

Awataka wananchi kutouza ardhi kama nyanya sokoni

Na Mwandishi wetu,JamhuriMediaSimanjiro Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Haiyo Yamati Mamasita, amewataka wananchi wa eneo hilo kutouza ardhi rejareja kama nyanya inavyouzwa sokoni. Mamasita ameyasema hayo kwenye kata ya Edonyongijape katika maadhimisho ya…

Biteko awataka wahitimu TGC kutekeleza sera ya madini

Waziri wa Madini,Dkt. Doto Biteko amewatunuku vyeti jumla ya wahitimu 39 wakiwemo wanaume 25 na wanawake 14 wa Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) katika Stashahada ya Teknolojia ya Madini ya Vito na Usonara. Akizungumza Dkt. Biteko katika mahafali hayo ambapo…

Dkt.Tax asaini kitabu cha maombolezo ubalozi wa Uturuki

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax amesaini kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Uturuki Jijini Dar es Salaam, kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea Uturuki tarehe 6 Februari, 2023. Baada ya kusaini kitabu cha maombolezo,…

Byabato:Mradi wa bomba la mafuta unaendelea kutekelezwa

Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amesema kuwa, utekelezaji wa mradi Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania (EACOP) unaendelea kutekelezwa na kwamba shughuli mbalimbali zinaendelea kufanyika nchini Tanzania na Uganda. Naibu Waziri amesema hayo Februari 10, 2023…

Serikali kuunda Tume kufuatilia madawati ya jinsia vyuoni

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi maalum, Mwanaidi Ali Khamis amesema Serikali imedhamilia kuondoa Ukatili wa Kijinsia Nchini Kwa kuja na Mpango kazi unaotekelezeka ikiwemo Uanzishaji wa Madawati ya Kijinsia Kwenye Vyuo Vikuu na Vyuo vya kati….