Author: Jamhuri
Vyama vya siasa, wananchi wahimizwa amani uchaguzi Serikali za Mitaa 2024
KATIKA kuhakikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unafanyika kwa amani na utulivu, viongozi wa vyama vya siasa na wafuasi wao wametakiwa kuzingatia sheria, kanuni, na maadili ya uchaguzi ili kuepuka vurugu na kuvunjika kwa amani. Jeshi la Polisi Mkoa…
JWT: Wafanyabiashara bado tuna changamoto nyingi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUMUIYA ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) imesema kuwa licha ya hali ya biashara nchini kuwa nzuri na kuzidi kuimarika lakini bado kuna changamoto mbalimbali zinazowakabili wafanyabiashara. Hayo yameelezwa leo Novemba 25, 2024 na Mwenyekiti…
Kilo 2207 za dawa za kulevya zanaswa
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya dola, imekamata jumla ya kilogramu 2,207.56 za dawa za kulevya na dawa tiba zenye asili ya kulevya katika mikoa ya Tanga na Dar es…
RC Ruvuma : Hali ya maambukizi ugonjwa wa UKIMWI yapungua, ashauri kuendelea kujikinga
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahamed Abbas Ahamed, amesema kuwa Mkoa wa Ruvuma hali ya maambukizi ya ugonjwa Ukimwi imepungua kutoka asilimia 5.6 mwaka 2016/2017 hadi kufikia asilimia 4.9 mwaka 2023 sawa na asilimia…
Mkakati: CCM ikihitimisha kampeni kwa kishindo
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafunga kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kishindo, kwa namna ile ile kilivyozindua. Hii itadhihirika tarehe 26 Novemba 2024, wakati Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, atakapoongoza uhitimishaji huo. Balozi…
TPA bingwa mashindano ya SHIMMUTA 2024
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imeibuka kidedea baada ya imefanikiwa kunyakuwa Ubingwa wa Jumla wa Mashindano ya SHIMMUTA kwa mwaka 2024 katika michuano iliyofanyika jijini Tanga. Katika mashindano hayo ambayo yalifungwa rasmi na…