Author: Jamhuri
Yafahamu mataifa saba yasiyoadhimisha siku ya ‘Valentine’
Kwa Mataifa ya Magharibi kila ifikapo Februari 14 wapendanao huitumia siku hii kutumiana jumbe zawadi na maua kuonyeshana hisia na namna kila mmoja anavyompenda mwenziye. Katika siku hii ambayo chimbuko lake ni huko Roma ikihusishwa na askofu wa Kanisa Katoliki…
Serikali yapiga marufuku vitabu visivyo na maadili kutumika shuleni
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vinavyokwenda kinyume na maadili kwenye Shule na Taasisi zote za Elimu. Vitabu hivyo vimepigwa marufuku na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda kwa mamlaka aliyopewa…
Hii ndiyo siri iliyoko nyuma ya sikukuu ya wapendanao
Kila ifikapo Februari 14 watu wengi huadhimisha sikukuu ya wapendanao ulimwenguni, na utaratibu huu umedumu kwa karne nyingi ukihusishwa na utamaduni wa magharibi. Watu huadhimisha siku hii kwa namna tofautitofauti ikiwa ni pamoja na kupeana zawadi kama vile maua mekundu,chokoleti…
Tanzania kunufaika na mabilioni kulinda mazingira
Tanzania inatarajia kunufaika na mradi wenye thamani ya Shilingi 120 Bilioni kwa ajili ya miradi ya uhifadhi wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi kutoka Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF). Hayo yamesemwa leo Jumatatu (Februari 13, 2023) Jijini Dodoma na…
Majaliwa: Marufuku kutumikisha watoto kwenye machimbo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Wakuu wa wilaya kwenye maeneo yenye shughuli za uchimbaji wa madini wahakikisha wanakemea vitendo vya ukatili dhidi ya watoto badala na yake watoto hao wapelekwe shule kwa ajili ya kupatiwa elimu. Majaliwa amesema kuwa kumekuwa…