JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mamlaka ya Viwanja vya ndege (TAA) yatolea ufafanuzi taarifa za ajali ya ndege Mwanza

Kufuatia video fupi kusambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikionyesha kutokea kwa ajali ya ndege iliyodaiwa kuzama katika Ziwa Victoria leo Februari 23, 2023 Mkrugenzi wa Mamalaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) Mussa Mbura amekanusha taarifa hizo na kusema kuwa…

Naibu Waziri Khamisi atoa maelekezo mazito Mwanza

Serikali imezitaka kamati za ulinzi na usalama katika Mikoa na Wilaya zote nchini pamoja na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuanzisha operesheni ya kuwaibaini na kuwachukulia hatua kali za kisheria waagizaji na wasambazaji wa mifuko…

Tanzania ya kwanza kusaini mkataba wa kituo cha huduma ya dharura cha maafa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Dodoma Tanzania imekuwa nchi ya kwanza miongoni mwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC, kusaini mkataba wa kuanzishwa kituo cha huduma za kibinadamu na oparesheni za dharura za kanda. Akizungumza mapema hii…

Serikali: Wamiliki wa viwanda zingatieni sheria ya mazingira

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imewataka Wawekezaji na wamiliki wa viwanda nchini kuzingatia Sheria ya Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira zilizoanishwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi Mazingira(NEMC) wakati wa uanzishaji, uendelezaji wa viwanda nchini. Agizo hilo limetolewa jana…

Mwalimu achomwa kisu na mwanafunzi hadi kufa nchini Ufaransa

Mwanafunzi wa shule ya sekondari amemchoma kisu mwalimu hadi kufa katika shule moja katika mji wa Saint-Jean-de-Luz nchini Ufaransa. Msemaji wa Serikali ya Ufaransa Olivier VĂ©ran amethibitisha shambulio hilo la Jumatano na kusema kuwa mshukiwa alikuwa na umri wa miaka…

Tembo wachelewesha SGR, Gwajima rukhsa treni binafsi

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Umuhimu wa uhifadhi wanyamapori hususan tembo umesababisha kuchelewa kuanza kwa majaribio ya safari za treni ya SGR, maarufu kama treni ya mwendokasi nchini; imeelezwa. Safari za majaribio zilitarajiwa kuanza mwezi huu kati ya Dar es…