JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Bei ya mafuta ya petroli na dizeli zapaa

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Machi 1, 2023 huku bei ya petrol na dizeli zikipaa ikilinganishwa na Februari. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi…

Maafisa elimu,kata Kibaha Mji wajengewa uwezo masuala ya VVU,ukatili

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha Halmashauri ya Mji Kibaha,imeendesha semina ya kuwajengea uwezo maafisa Elimu kata,walimu walimu wa shule za msingi na sekondari juu ya masuala ya VVU/UKIMWI mahala pa kazi kwa lengo la kuondoa unyanyapaa na ukatili wa kijinsia. Siwema Cheru…

DC Nachingwea aamuru madarasa kuvunjwa haraka

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo ameamuru kuvunjwa kwa baadhi ya madarasa ya shule ya msingi Majogo katika Kijiji cha Litula, Kata ya Marambo, kutokana na uchakavu wa majengo ya shule hiyo ambayo yanahatarisha maisha…

Jaji kiongozi afungua kongamano la kimataifa la haki miliki

Na Mary Gwera,JamhuriMedia Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania,Mustapher Mohamed Siyani amefungua Kongamano la Kimataifa linalohusu masuala ya Haki Miliki, Alama za Biashara na Usuluhishi wa Migogoro ya Miliki Bunifu ‘Judicial Colloquim on Copyrights, Trademarks and Mediation of IP…

Kanisa Katoliki Geita lafungwa kufuatia tukio la kufuru na unajisi

Kwa masikitiko makubwa na tumaini kubwa kwa Mungu, napenda kuwataarifu kwamba, huduma zote za ki-ibada na ki-Sakramenti katika Kanisa Kuu la Kiaskofu la Jimbo Katoliki la Geita zamesitishwa kuanzia leo tarehe 27 ya Mwezi Februari ya Mwaka wa Bwana 2023….