JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Majaliwa ahitimisha Jimbo Cup Ruangwa

Kiwengwa FC yaibuka bingwa wa michuano hiyo. Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa ameshuhudia mchezo wa fainali ya kombe la jimbo maarufu Jimbo cup kati ya Stand fc na Kiwengwa FC uliofanyika katika uwanja wa mpira…

ACT – Hatukubali unyanyasaji na ufisadi Mtambani

Yatoa mpango wa kufufua maendeleo Nambani, Dar Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Mtaa wa Mtambani kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Mohammed Mtutuma, ametoa ahadi ya kupambana na unyanyasaji na kuhakikisha heshima ya wananchi inalindwa, ikiwa ni sehemu ya kampeni…

RC Chalamila wananchi jitokezeni kwa wingi kupiga kura Novemba 27, 2024

-Asema mkoa una jumla ya mitaa 564 ambayo itashiriki uchaguzi huo -Vituo vya kupiga kura katika mitaa vimeongezwa ili kuwafikia wananchi wengi zaidi. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa…

Waziri Kabudi azindua siku 16 za uarakati za kupinga ukatili Dar es Salaam

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Dalaam WAZIRI wa Sheria na Katiba Profesa Kabudi Palamagamba amezindua rasmi siku 16 za uanaharakati dhidi ya ukatili wa kijinsia wenye kauli mbiu ya kuelekea miaka 30 ya Beijing changua kutokomeza ukatili wa kijinsia….

Mamia wajitokeza huduma za uchunguzi wa macho Hospitali ya Mbagala

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamia ya wakazi wa Mbagala iliyopo Manispaa ya Temeke, Jijini Dar es Slaam, jana wamejitokeza kwa wingi Hospitali ya Mbagala Rangi Tatu ili kufanyiwa uchunguzi wa macho unaofanywa na madaktari bingwa kutoka Hospitali…