Author: Jamhuri
Pwani yafikia asilimia 94.6 ya upatikanaji dawa
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMediaPwani Mkoa wa Pwani, umefikia asilimia 94.6 ya upatikanaji wa dawa muhimu na vifaa tiba ,hadi kufikia Machi mwaka huu, hatua ambayo ni nzuri inayokwenda kujibu changamoto ya upungufu wa dawa kwenye hospital, zahanati na vituo vya afya….
Rais Samia amteua Mizengo Pinda kuwa mshauri wake wa masuala ya kilimo na chakula
Katika kutekeleza azimio la Viongozi wa nchi za Afrika, kupitia Mkutano wa Utoshelevu na Ustahimilivu wa Chakula (Dakar 2 Summit on Feed Africa: Food Sovereignty and Resilience) uliofanyika Dakar, Senegal Januari 25 hadi 27 , 2023, waliazimia kila nchi kuunda…
Makamu wa Rais wa Marekani kutembelea Tanzania
…………………………………………………………………………………………. Makamu wa Rais wa Marekani Mheshimiwa Kamala Harris anatarajiwa kutembelea Tanzania kuanzia Machi 29 hadi 31, 2023, kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwenye ziara hiyo ya kwanza nchini Tanzania na…
Watoto sita wafariki kwa kula samaki aina ya kasa
Watoto sita wa kuanzia miezi saba na mtu mzima mmoja wamekufa baada ya kula samaki aina ya kasa anayesadikiwa kuwa na sumu. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kaimu Kamanda wa Polisi,Mkoa wa Kipolisi Rufiji, Canute Msacky, tukio hilo limetokea katika…
Mlawa atoa matofali 1,000 ujenzi ofisi ya Kata Zinga
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Bagamoyo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi, Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani Aboubakary Mlawa, amechangia matofali 1,000 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya Jumuiya hiyo Kata ya Zinga. Hatua hiyo ni mkakati wa jumuiya hiyo ,kuhakikisha kila tawi…