JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

‘Baadhi ya wanaume wanakwamisha juhudi za wanawake kimaendeleo’

Na Severin Blasio,JamhuriMedia,Morogoro Wakati jitihada za kukomesha ukatili wa kijinsia hususani kwa wanawake,zinaendea imeelezwa bado baadhi ya wanaume wamekuwa kikwazo katika kukwamisha na kuwakatisha tamaa wanawake. Hayo yameelezwa kwenye mafunzo ya wanawake na makundi maalumu kutoka Kata za Bwakira juu,Selembala…

Bil.4.6/- kuibadilisha ranchi ya Kongwa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 4.6 kwa ajili ya kufanya maboresho makubwa katika ranchi ya Kongwa ikiwa ni pamoja na ununuzi wa mbegu bora za ng’ombe, uchimbaji wa visima na ununuzi wa matrekta. Hayo yameainishwa na…

TRA Chunya yajivunia sekta ya madini kwa ukusanyaji wa kodi

Na Richard Mrusha,JamhuriMedia MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya imesema kuwa asilimia kubwa ya mapato katika Wilaya hiyo yanatokana na Madini ambapo wachimbaji wadogo wamekuwa na uelewa mpana juu ya kifaa kinachotumika katika kurahisisha ukusanyaji wa…

Mradi wa uzalishaji umeme Makete vijijini mbioni kukamilika

Veronica Simba-REA Mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Ijangala, kijiji cha Masisiwe, wilayani Makete, Mkoa wa Njombe, uko katika hatua za mwisho kukamilika. Hayo yamebainika wakati wa ziara iliyofanywa na viongozi wa juu wa Wakala…

Bruno haendi Yanga

Na Tatu Saad,JamhuriMedia Uongozi wa klabu ya Singida Big Stars umekanusha taarifa zinazoenea kuwa wamefanya mazungumzo ya awali na mabingwa watetezi wa Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara ‘Yanga SC’ kuhusu usajili wa mchezaji Bruno Gomez Baroso. Taarifa zilizokuwa…