JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Zitto awataka Kigoma kupiga kura ya hapana pale CCM wanapobaki pekee

Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewataka wananchi kupiga kura za hapana katika mitaa ambayo wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamebakizwa pekee baada ya vyama vya upinzani kuenguliwa. Zitto ametoa wito huo siku ya Jumanne Novemba…

Timu ya Taifa kuogelea yawaduwaza wengi Burundi

Na Lookman Miraji, Jamhuri Mwdia, Dar es Salaam Timu ya taifa ya mchezo kuogelea imefanikiwa kuibuka mshindi wa pili katika mashindano ya Afrika kanda ya 3 yaliyomalizika hapo jana jijini Bujumbura nchini Burundi. Timu hiyo ya Tanzania imeshika nafasi hiyo…

Himahima tujitokeze kwa wingi kupiga kura – Kapinga

📌 Afunga kwa kishindo Kampeni za CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mbinga 📌 Asema CCM ni tumaini la Watanzania; Ipate kura za Ndiyo 📌 Akumbusha kuwa miradi ya maendeleo iliyopo ni kielelezo cha viongozi makini wa CCM Mbunge wa…

Geita msiniangushe, msiiangushe CCM – Dk Biteko

📌Awahimiza Wananchi Kupiga Kura Kesho, Kuchagua CCM 📌 Awapongeza kwa Kampeni za Zakistaarabu 📌 Ataka Siasa Ziwe Daraja la Kuunganisha na Kushindanisha Mawazo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)…

Wananchi Pwani wapigieni kura wagombe wa CCM ni chaguo sahihi – Abdulla

Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amehitimisha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika mkoa wa Pwani na kuwaasa wananchi kuwapigia kura wagombea wanaotokea…

Yanga wakandwa na aL Hilal kwa Mkapa

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar e Dalaam Klabu ya Yanga imepoteza mchezo wake wa kwanza hatua ya makundi mbele ya AL Hilal ya Sudan kwa mabao 2-0. Yanga imepoteza mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika katika uwanja wa Benjamin…