JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mandonga amchapa Mganda,ajinyakulia taji

Bondia machachari na mwenye mbwembwe nyingi Karim Mandonga amechampa Mganda Kenneth Lukyamuzi na kutwaa ubingwa wa PST uzani wa Light-Heavyweight. Mandonga ameshinda kwa pointi katika pambano hilo la raundi 8 na kutwaa ubingwa huo wa kwanza kabisa katika maisha yake…

Kimbunga chaua 23 Mississippi Marekani

Takriban watu 23 wamefariki dunia baada ya kimbunga kukumba jimbo la Mississippi nchini Marekani usiku wa kuamkia leo. Watu zaidi wanadhaniwa wamenaswa chini ya vifusi vya majengo yaliyoharibiwa. Kimbunga hicho kilisababisha uharibifu mkubwa katika miji kadhaa ya mashambani, ambapo miti…

Serikali: Hakuna wagonjwa wapya wa Marburg

Na WAF –Kagera,JamhuriMedia,Bukoba Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema hadi kufikia Machi 25,2023 hakuna wagonjwa wapya wa Marburg walioripotiwa licha ya kupokea tetesi sehemu mbalimbali mkoani hapa. Hayo ameyasema jana alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari nakusema kuwa ugonjwa huo…

Kinana awataka Waislamu kuzingatia maadili mema

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amewataka Waislamu kuzingatia mafundisho ya Mtume Muhammad (SAW) hususan kuhusu uchamungu na tabia njema. Kinana ameyasema hayo jana wakati wa hafla ya mashindano ya Kuraani tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya…

Mama Janeth Magufuli atunukiwa tuzo DRC

Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Hayati John Pombe Magufuli ametunukiwa Tuzo ya Heshima ya Kimataifa toleo la tatu, inayotolewa na Taasisi ya Martha Tshisekedi Kasalu maarufu M. T….

TMA yaiwakilisha vema Tanzania mkutano wa tathmini ya mabadiliko hali ya hewa na tabianchi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a, ambaye pia ni Afisa Kiungo wa Tanzania katika Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi (Intergovernmental Panel…